labda awe mke ila mchepuko ilo swala haliepukiki... kukunjwa ndo habare ya town, ata ukipigwa mzinga hela imeenda kihalali
Duh! Ndo mana wake zenu tunachepuka! Yaani dose ya ukweli unaipeleka nje halafu mimi unaniletea shombo? Eti mke my foot!
Kwa taarifa yako kukunjwa na kubenuliwabenuliwa ndiyo raha ya sex!
ukiwa huna speed unakuta nimesinzia kabisa ..... nikishtuka kumbe bado upo juu?
Duuuu! Haya bhana.