Hii ni kwa wanaume tu

Kuna kitu nimekigundua kwenye haya maisha ya kifamilia kuhusu sisi wanaume: Tukipata pesa tunakua na kiherehere na kisebusebu kuifurahisha familia kupitiliza- sisi kwetu ni furaha kuona watu wako wanafurahi.Ukipata vijihela tayari kilo 10 nyama, nguo, n.k yaani unawawaza tu wao.Sasa ukitumia zikaisha baada ya siku tano ukarudi hali ya kawaida - ukiombwa kitu ukawapiga kalenda watu wananuna- wanafuta na kusahau yote uliyofanya.Funzo TUKIPATA PESA TUJIWEKEZE KWETU KWANZA - TUSIJISAHAU sababu hatukumbukwi kirahisi
 
πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…