BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,243
Nyege hizo,kulaneniKuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
dada sema kitu mawardat ππ
Jicho lipi?Kuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
Si anataka tuseme karogwa,unadhani anataka kusikia nini kutoka kwetu
...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...
πππππJicho lipi?
Kadandia mtumbwi sio.Umejichanganya mkuu na huo ni mwanzo tu.
Hatua za kuonana or oana?? Em tuanze hapa.Kuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
Kwa post hii kweli ww bado mtoto mdogo! Bado akili haijatulia ! Pili una imani potovuu, kuumwa kwako usimsingizie dada wa watu maana akijua fikra zako ndo kama hizi dakika chachee tuu ushapigwa kipapai alafu uje kusema mapenzi hamna wanawake hamna wakati ni ujinga wako tuu mwenyweKuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
Mtakuja ku date na viti vya majini...
Siku utayo iingiza nanihii utaamka macho yote yametolewa...