Hii Ni Kali Balaa...

duh hii ndio bongo bwana kila ki2 kinawezekana
 
Naona jana mmekubali kilaini kuwaachia majirani zenu...haya bana, tutaonana next season, kwa sasa kamilisheni ratiba tu!

hee baba nshaishiwa na pozi kabisa..
 
Hahahahahaha,dah kaz kwelkwel,bidada ver bize,teh
 
R.i.p kanumba he was the great!
 
na hiyo vibration ya generator kwa kweli huyo dada ana moyo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…