Hii ni halali kweli?

Hii ni halali kweli?

moreen baby

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
127
Reaction score
23
Habari wana MMU,

Hivi ni haki kwa mwanamke au mwanaume kuchati na ex boy wake au ex-girl wake hali ya kuwa unajua ex wako huyoo bado anahitaji nafasi ndani ya moyo wako?

Msaada tafadhalii
 
Hakuna kitu hapo,bora kama kujiongeza ujiongeze tu
 
It is the content that counts....
Mojawapo ya haki ya kibinadamu ni uhuru wa kuwasiliana na binadamu yeyote hapa duniani.
Judge according to content of the chat.
Pia its undebatable kuwa ukaribu between potential coupling is a threat
 
Inakuwa sio halali kama upo kwny mahusiano mengine lkn kama huna mahusiano si vibaya kukumbushia waswahili wanasena mavi ya kale hayanuki
 
halali ni "relative term"...we kama vip jiongeze tuu
 
Inakuwa sio halali kama upo kwny mahusiano mengine lkn kama huna mahusiano si vibaya kukumbushia waswahili wanasena mavi ya kale hayanuki
yupo kwenye mahusiano mengine lakini unakuta unamtumia sms ex wako ya salamu au kitu chochote
 
Habari wana MMU,

Hivi ni haki kwa mwanamke au mwanaume kuchati na ex boy wake au ex-girl wake hali ya kuwa unajua ex wako huyoo bado anahitaji nafasi ndani ya moyo wako?

Msaada tafadhalii
na hapo upo kwenye mahusiano mengine
 
yupo kwenye mahusiano mengine lakini unakuta unamtumia sms ex wako ya salamu au kitu chochote

Hiyo sio halali na akifanya hivyo ujue bado anakumbushiaga kuchuma tunda la kati,naww ntumie msg mm tuchat apate kujifunza.
 
Nihalali iwapo wewe na EX-wako mliachana kwa amani mnaweza chart tu kama mafariki na sio wapenzi na hii ni kama haupo kwenye mahusiano na mtu mwingine
Nasio halali kama upo kwenye mahusiano mengine then una chart na EX-wako.
fafanua uhalali wake na siuhalali wake
 
Habari wana MMU,

Hivi ni haki kwa mwanamke au mwanaume kuchati na ex boy wake au ex-girl wake hali ya kuwa unajua ex wako huyoo bado anahitaji nafasi ndani ya moyo wako?

Msaada tafadhalii

it depends on 3 things, it depends na jinsi ulivyoachana naye, kama una mtu mwingine tayari au kama bado unampenda.
kwa kupitia hayo, unaweza kujua kama ni haki kuendeleza mawasiliano naye au la.
 
Nihalali iwapo wewe na EX-wako mliachana kwa amani mnaweza chart tu kama mafariki na sio wapenzi na hii ni kama haupo kwenye mahusiano na mtu mwingine
Nasio halali kama upo kwenye mahusiano mengine then una chart na EX-wako.

kwaiyo unamaanisha hata salamu hakuna kujibu
 
Wana haki yakufanya na kusaidiana kila kitu isipokuwa kufanya mapenzi tuu.
 
Back
Top Bottom