Tarehe 20/8/2018 mlikuwa na offer ya GB 1 na zaidi, leo mmeshageuka kama kinyonga MB 500 tena zenye mipaka.Hivi mnaijua thamani ya Tsh 1000/= kwa sasa au mnaona raha tu kuwageuza wateja wenu!!?TIGO TULIENI AU NDIO MAANA KUNA KAMPENI YA LINE MOJA ILI MTULE VYEMA!?
View attachment 844388
Sent using
Jamii Forums mobile app