Hii ndoto sijui kama ni kweli au ni jinamizi linanitokea, (naombeni tafsiri yake)

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Asalaam aleikhum!!!
Kuna ndoto inanijia mfululizo siku ya tatu Leo!
Inasema eti Katika kuazimisha muungano, tutaisherekea makwetu Kwa kufanya usafi mtaani, pamoja na hayo ya usafi kuwepo kuna watu watapita huko huko mtaani kuhamasisha usafi pamoja kuonyesha ukakamavu!
Hiyo inafanyika ili kumfanya kila mwananchi aguswe na ajionee uimara Wa wapiganaji wetu!
Wakati ndoto hiyo ikiendelea nilinyanyua simu kumpigia ndugu yangu bahati mbaya hiyo siku nzima mtandao Wa simu yoyote haukuwa unapatikana! Pia nilijaribu kuingia mtandaoni simu ikaandika " saver not found".
Network haikupatikana kwenye simu hadi nilipozinduka usingizini!...
Wataalamu Wa ndoto nifafanulieni!!!

Naomba hii ndoto isiwe kweli kawasabu tutapotezana!!!!
 
Duuuh! Ufafanuliwe nini mkuu wakati ndoto inaeleweka kabisa hiyo! Ha ha ha hiyo ndoto si mchezo.
 
Asalaam aleikhum!!!
Kuna ndoto inanijia mfululizo siku ya tatu Leo!
Inasema eti Katika kuazimisha muungano, tutaisherekea makwetu Kwa kufanya usafi mtaani, pamoja na hayo ya usafi kuwepo kuna watu watapita huko huko mtaani kuhamasisha usafi pamoja kuonyesha ukakamavu!
Hiyo inafanyika ili kumfanya kila mwananchi aguswe na ajionee uimara Wa wapiganaji wetu!
Wakati ndoto hiyo ikiendelea nilinyanyua simu kumpigia ndugu yangu bahati mbaya hiyo siku nzima mtandao Wa simu yoyote haukuwa unapatikana! Pia nilijaribu kuingia mtandaoni simu ikaandika " saver not found".
Network haikupatikana kwenye simu hadi nilipozinduka usingizini!...
Wataalamu Wa ndoto nifafanulieni!!!

Naomba hii ndoto isiwe kweli kawasabu tutapotezana!!!!
Sasa nchi inaongozwa kijeshi sheria na katiba hazifanyi kazi tena
 
Kwa hiyo mfanye mnayotaka tu kisa utawala wa sheria ndo msababishe uvunjifu wa amani? Acha mpigwe tu ikiwezekana hata hiyo sakosi yenu ifutwe kabisa. Maana kwenye chaguzi zote mnapigwa chini hamna hata mlipoambulia. Kwa aibu ndo mnataka kuleta vurugu.
 
Kwani unadhani wanaotaka kuandamana wanataka kuandamania majumbani? sasa kama wanamgambo watatufuata huku mtaani na kufanya nao usafi bado kuna nini? haitabaki takataka yeyote, hadi sisimizi hutamuona!
KWAHIYO UNATAKA KUSEMA WATAKAOANDAMANA NI WAGAMBO KAMA POLISI WALIVYOANDAMANA KIPINDI CHA UKUTA
 
Kwa hiyo mfanye mnayotaka tu kisa utawala wa sheria ndo msababishe uvunjifu wa amani? Acha mpigwe tu ikiwezekana hata hiyo sakosi yenu ifutwe kabisa. Maana kwenye chaguzi zote mnapigwa chini hamna hata mlipoambulia. Kwa aibu ndo mnataka kuleta vurugu.

Mkuu huko kupigwa ni kwa ule mchezo wa kubeba box la kura kisha kurudishwa tena? Ni nani aliyekuambia maandamano ni kosa. Ni vyema kusubiri hayo maandamano kisha kuchukua ujumbe wa waandamanaji na kuufanyia kazi.
 
Kwa hiyo mfanye mnayotaka tu kisa utawala wa sheria ndo msababishe uvunjifu wa amani? Acha mpigwe tu ikiwezekana hata hiyo sakosi yenu ifutwe kabisa. Maana kwenye chaguzi zote mnapigwa chini hamna hata mlipoambulia. Kwa aibu ndo mnataka kuleta vurugu.
HAYA TUMEKUSIKIA NAONA UMESHIBA UNGA WA NDELE NA MTAWALA AMEZUNGUKWA NA DAMU SIKU UKILISHWA UNGA WA RUTUBA WEWE UTAKUWA WA KWANZA KUONEKANA KWA WALIOZUNGUKWA NA DAMU ETI UNALETA VULUGU.
 
Back
Top Bottom