halafu Mkuu nawashangaaa sana hawa viongozi wetu, hakuna sababu ya kununua hii military mitumba! Mbadala wawekeze kwenye elimu badala ya kupiga vichwa matafali!
Ndo maana Russia anaogopa ogopa sana.
B-2, F-22, F-35 zote radar evading ipo kubwa sana hapa kwetu zaweza kuwa zapita kila siku
huwezi kutuma Raptor au jointstrike kwenda kupambana na magaidi.
Hizo ndege ni special kwa nchi kama russia,korea,china,iran.
russia anazo system ya kutungua hayo makitu,wala hata haogipi kivile kwani hizo nchi mbili kupigana haiwezekani.Ndo maana Russia anaogopa ogopa sana.
B-2, F-22, F-35 zote radar evading ipo kubwa sana hapa kwetu zaweza kuwa zapita kila siku
wazo kama hili ndoo huwa naliwaza mimi yaaani ina maaana hizi silaha zote ni kwa ajili ya kuwaua binadamu??
hivi na wanajeshi wakizungu huwa wanapasua matofali kwa kichwa ?
Hivi unacheza na tirlion moja usd?.
Hizi ndege haziuzwi nawanajeshi zinauzwa na wanasayansi wanaoweza kuvumbua,wanajeshi wanazitumia kupigana vita.hivi na wanajeshi wakizungu huwa wanapasua matofali kwa kichwa ?
hivi na wanajeshi wakizungu huwa wanapasua matofali kwa kichwa ?
Hii ndege tairi zake zote tatu ziko kwenye mstari mmoja ulionyooka au ni opticl illusion?