eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Daaah nimesikitika sana baada kuziona hizi taarifa. Hivi madaktari wa Tanzania wanatumia aina gani ya vipimo vipimo vyao ni vya kubahatisha sana. Nakumbuka hata kwa ommidimpozi walituambia matatizo mengine kumbe mtu aliwekewa sumu sasa imejirudia tena kwa Hawa baada ya kutuambia anatatizo za INI kumbe mtu anatatizo la moyo ningekuwa waziri wa hii wizara ningemtumbua mapema
Diamond platinumz ubarikiwe sana kwa msaada wako kwahuyu binti
Diamond platinumz ubarikiwe sana kwa msaada wako kwahuyu binti