Hii ndo sababu kwa Africa makampuni ya technologia hayakui, after 2 years yanakufa

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
673
1,391
kipindi nipi chuo teacher wa entrepreneur aliseama moja ya chanzo kikubwa cha biashara kufa ni kufail ku price service or goods,

Cheki hichi kituko cha swahiliflix.tv

kweli jack unaenda ku copy price za netflix?

bongo movie unailinganisha na movie za kamarekan??
kweli mm siwezi kulipa $7.99 nianaglie bongo movie wakati netflix hiyo hiyo dola saba na stream movie lukuki mwezi mzima

Screenshot (168).png

hiyo ni netflix

Screenshot (170).png

swahili yetu cheki bei
 
Mi nadhani target yao sio watanzania maana kwa mtanzania wa kawaida ata ungekua service ni ya bure sio watanzania wengi wanaweza kustream movie nzima ikaisha. Bando yenyewe ya shida.
Kwa mtazamo wangu nadhani wametarget sana sana watu walio nchi za nje ambapo wifi ni basic need.
 
Pengine labda mchakato wa kukamilisha process zote umechukua gharama kubwa mawazo yao hili kuzirudisha hizo gharama plus faida, ni kuweka price kubwa na hasa ukizingatia audience yao sio kubwa kihivyo.
 
Kitu ukikiweka kwenye internet na ukaki promote vizuri kitaangaliwa dunia nzuri...

Ngoja tuone...

Cc: mahondaw
 
Mi nadhani target yao sio watanzania maana kwa mtanzania wa kawaida ata ungekua service ni ya bure sio watanzania wengi wanaweza kustream movie nzima ikaisha. Bando yenyewe ya shida.
Kwa mtazamo wangu nadhani wametarget sana sana watu walio nchi za nje ambapo wifi ni basic need.
Kwa issue ya data bundle wanaweza kuingia mikataba na makampuni ya internet/mitandao yakawapa special bundles za kustream "swahiliflix".
 
Back
Top Bottom