Barbarosa walioomba mikopo walikuwa wangapi na waliopewa ni wangapi, kiasi gani kilitengwa na kimetumika kiasi gani, hiz hela zilikuwa zimetengwa kwenye bajeti iliyopita au zimetolewa toka wapi, na huko zilikotolewa zimetolewa kwa kufuata utaratibu au ni ubabe wa kimadaraka umetumika?
Tatizo la mikopo limetatuliwa kabisa au hela zimetolewa kuonesha kwamba Magufuli "akiahidi anatekeleza?". Maana yangu jambo lenyewe limewekewa mkakati liwe la kudumu au ni mbwembwe tu za kuoneshana "Kasi" ili baadaye isemwe tena "Waliokopa hawajarudisha" kwa hivo serikali haina hela?
Barbarosa Kama kweli Magufuli anajali elimu inabidi awekeze kwenye kuelewa kuliko kwenye kusoma bila ya kuelewa. Wana CCM wenzako huko nyuma waliwahi kutuambia "hata kula nyasi tutakula" lakini ndege ya rais ni lazima inunuliwe. Hiyo tabia yenu ya kutokujali vyanzo vya mambo ndiyo mling'ang'ania kwamba hela iliyokuwa kwenye Tegeta Escrow siyo ya Umma wakati sasa tunaoshitakiwa ni Tannesco na Serikali ya Tanzania na siyo kina Tibaijuka.
Huko nyuma no wapi? Ni kabla ya ccm kuwepo madarakani?au wakati ccm ikitawala? Na we we ulikuwa upande gani huko nyuma? Upande WA kusapoti?au WA kukemea? Na huko nyuma wanafiki walikuwepo pia? Au ndiyo wanaibuka enzi hii na kujifanya wanatetea kupinga mile walichokitetea kisipingwe? Jibu pleaseHaijalishi cha muhimu Wanafunzi wote walioomba mkopo kwa ajili ya kusoma wamepata, ambapo hapo awali walikosa fedha ilikotoka siyo muhimu hata kama tumekopa au tutalala njaa ili zipatikane fedha za na wanafunzi wasome yote heri TU, hapa muhimu klk yote ni kwamba tuna raisi ambaye anaelewa umuhimu wa Elimu na yuko tayari kufanya chochote kwa gharama yoyote ile ili wanafunzi wasome hapo nyuma tulikuwa tuko tayari kufanya chochote kwa gharama yoyote ile ili watu waende kwenye sijui kongamano gani Ulaya kukutana na Malkia wa Uingereza au kununua ndege ya raisi au sijui bilioni kwa kwa ajili ya vitafunwa na chai vya Ikulu na wageni wake!!
kweli atakua genius yaani awalazimishe watu waelewe...hata kama vichwa vyao ni 2MBBarbarosa Kama kweli Magufuli anajali elimu inabidi awekeze kwenye kuelewa kuliko kwenye kusoma bila ya kuelewa. Wana CCM wenzako huko nyuma waliwahi kutuambia "hata kula nyasi tutakula" lakini ndege ya rais ni lazima inunuliwe. Hiyo tabia yenu ya kutokujali vyanzo vya mambo ndiyo mling'ang'ania kwamba hela iliyokuwa kwenye Tegeta Escrow siyo ya Umma wakati sasa tunaoshitakiwa ni Tannesco na Serikali ya Tanzania na siyo kina Tibaijuka.
Kusoma tu nilichoandika umeshindwa. kuna mahala nimeandika kuwa Magufuli awalazimishe watu kuelewa?kweli atakua genius yaani awalazimishe watu waelewe...hata kama vichwa vyao ni 2MB