Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,696
Nyuma ya microphone wanahubiri amani lakini hadharani wanafanya hivi !Hili neno Amani linatumiwa vibaya na wanasiasa wa Tanzania.Ni kama kichaka cha mafisadi wa Taifa hili.
Waibe kura na sisi tukubali kuibiwa ndo amani.Wazidi kutufanya maskini kwa kugawa bure raslimali zetu na sisi tusidai haki zetu wala tusihoji raslimali zetu zinaenda wapi ndo amani.Lazima waingie ikulu hata kama watakuwa wameshindwa ndo maana magufuli ktk mikutano yote ya kampeni anawasihi wananchi kuichagua ccm maana wakichagua upinzani Tanzania itakuwa kama Libya,hapa anamaanisha kuwa ccm ikianguka haitakubali kukabidhi nchi kwa amani itatumia nguvu kuingia madarakani.Watu kubambikwa kesi za uongo na wasihoji ndo amani.Kuburuzwa kwa kila jambo hata kama halina maslahi kwa taifa ndo amani.Kukubali kuwa maskini maisha yetu yote ndo amani.Kunyanyaswa na serikali ndo amani.Kuacha mafisadi wailifisi nchi kwa kuweka mapesa yetu ktk benk za ulaya ndo amani.Na mwisho CCM itawale milele hata kama wananchi hawaitaki kabisa na wameichoka ndo amani.Kama wananchi wanataka kuitoa CCM madarakani basi hapo ndo hakuna amani tena ni machafuko.Hiyo ndo amani inayohubiriwa na CCM.

Nyuma ya microphone wanahubiri amani lakini hadharani wanafanya hivi !
We mbwiga kweli! Mbowe anaposema mkakeshe kufanya mkusanyiko usio halali na msiogope vyombo vya dola maana yake ndio nini? Au ndio amani hiyo anayohubiri?
ccm olewenu muibe kura tujue bora vita yakupigania haki kuliko amani hii inayo tujaza ujinga na kutupumbaza watanzania