Ebu ona maoni ya MTU kama huyu:....Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.......
Ndiyo maana nchi za Africa yaziwezi kuendelea ikiwa akili ya mpinzani iko hivi!!!
Unaihujumu serikali Yako ili uingie madarakani kuiendeleza nchi uliyoihujumu!!! Akili za maskini kabisa!!! Mfano Leo mnatetea wenye vyeti feki ili kuihujumu serikali, Leo mnatetea waliyotumbuliwa ili kuihijumu serikali, Leo mnaponda ununuzi Wa ndege ili kuihujumu serikali, Leo mnashinda misibani ilikuihujumi serikali, mnaponda ujenzi wa reli na flyover ili kuihujumu serikali ...........shame on you guys!! Nendeni mkachunge ng' ombe kama mlivyoahidi pindi mkishindwa uchaguzi!!! Mwacheni rais wetu afanye kazi kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu!! Mnapohujumu nchi na serikali wanaoumia ni watoto Wa maskini.watoto wenu mnawasomesha kwenye international schools na kuajiriwa BOT ,wengine mliwachongea vyeti feki ndo maana mnawatetea!!! Ewe mtanzania mzalendo Wa kweli anayekuua ni mpinzani uchwa anayeihujumu serikali Yako!!! Anayekufanya maskini siyo serikali Yake Bali ni mpinzani anayeihujumu serikali yako ili aingie madarakani kuindeleza nchi aliyofanya kuwa maskini!! Zinduka!!