Hii ndio tofauti iliyopo kati ya Mwanasiasa na Na kiongozi

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Tofauti kati ya Mwanasia na kiongozi ni hii!! siku zote mwanasiasa hufikiria Uchaguzi wakati kingozi hufikiria namna ya kuisaidia jamii yake katika masuala ya kijamii, kiuchumi n.k

swali: Je Rais tuliyenae ni mwanasiasa au ni kiongozi?

kwa mtazamo wangu mimi namuona kama mwanasiasa, sababu: Hafikirii kuisaidia jamii mfano katika masuala ya Ajira, Dawa mahospitalini n.k

karibuni kwa maoni
 
Tundu Lisu anasemaje!?
 
Back
Top Bottom