Hii ndio miji iliyotembelewa zaidi kimataifa mwaka 2023

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
1: Istanbul: 20.2M
2. London: 18.8M
3. Dubai: 16.8M
4. Antalya: 16.5M
5. Paris: 15.5M
6. Hong Kong: 14.7M
7. Bangkok: 12.2M
8. New York City: 11.7M
9. Cancún: 10.8M
10. Mecca: 10.8M

SOURCE: THE WORLD INDEX

Nina uhakika tofauti na utalii idadi kuongeza huko Istanbul ni kutokana na plastic surgery ya bei rahisi.

Bangkok lazima iwe top 10 iwepo kutokana na wale wazee wa sex tourism haha.

Mecca ni kutokana kuhiji.

Huko Cancun pameibuka kuwa sehemu bora kwa ajili ya mapumziko na starehe.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Nataka siku moja nifike Cancun na Vancouver.
 
Naomba maelezo Zaid kuhusu Bangkok na sex tourism
 
Back
Top Bottom