Hii ndio maana halisi ya zidumu fikira za mwenyekiti!

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Kwa ambaye alikuwa hajui kuwa nini maana ya ule msemo Wa zidumu fikira za mwenyekiti taratibu kipindi hiki ataelewa nini dhana halisi ya msemo huu

Keep in touch! Stay turned
 
Sikutegemea Kinana mtu makini aliyekuwa akikosoa na kuwashauri Mwinyi,Mkapa,na Kikwete ,leo amekua boya,kunguru muoga mbele ya Sizonje
Na kati ya. wote hakuna ambaye alihitaji huduma ya ushauri nasaha kama huyu Mchatto aliyepo sasa kwenye uskani
 
Back
Top Bottom