Hii ndio kazi unayoifanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio kazi unayoifanya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sipo, Aug 1, 2009.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani (WHO) ya mwaka 2005. Kazi husababisha maumivu na vifo kwa kiwango kikubwa kuliko matumizi ya madwa ya kulevya au ulevi wa pombe vikijumlishwa kwa pamoja.

  Nalo gazeti la The Guardian la Uingereza la mwezi May 2005 liliripoti kwamba kila mwaka zaidi ya watu milioni mbili duniani kote hufa kutokana na majeraha au magonjwa yanayosababishwa na kazi

  Sababu kubwa zilizotolewa ni vumbi, kemikali, kelele, miale au mionzi mbalimbali ambayo husababisha kansa, magonjwa yakupooza na kiharusi. Pia kuna uchovu wa kupindukia.

  Mwanasaikolojia Steven Berglas anasema woga, wasiwasi, mfadhaiko na sononi ni mambo ambayo humpata mtu kwasababu ya kunaswa na kazi yake kiasi kwamba hawezi tena kujinasua.

  Nawasilisha
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Basi ni hatari kubwa. Sasa nini ushauri wao?
   
Loading...