Huu mtindo ulianzia jela za marekani, ukivaa hivi ilikuwa ni code ya kuonyesha kwamba wewe ni punga, kwa hiyo wafungwa wengine walikuwa wanajua bila kuuliza, na style ikaletwa mtaani na magansta waliotoka jela.
Kwa hiyo huu mtindo ni wa mashoga, kuweni makini vijana.