Hii ndio hofu kuu ya CCM kwenye uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es salaam....

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,896
36,213
Habari za muda huu wapendwa.....

Ni wazi kuwa kila jicho la muumini wa demokrasia ,mpenda haki na mpenda maendeleo au mabadiliko limeelekezwa kwenye uchaguzi wa Meya wa Jiji hili linalosemekana kuwa ni jiji la maraha.....ukizingatia kuwa wapinzani (UKAWA) wana uhakika wa kumtoa meya kwa asilimia zaidi ya mia kutokana na wingi wa wapiga kura kwenye uchaguzi huo hivyo kuongeza msisimko zaidi kwenye uchaguzi huo....

Sarakasi zinazofanywa na serikali ya CCM kupitia mamlaka yao katika kuukwamisha uchaguzi huo zinazusha maswali mengi katika vichwa vya wapenda haki na waumini wa mabadiliko.....
Kiukweli ni miujiza pekee ndiyo itakayofanya CCM kuchukua kiti cha umeya mwaka huu kwa kutazama tu idadi ya wapiga kura(madiwani)..labda na ubabe ambao wameshauzoea kuufanya.....

Sasa swali la msingi ni kwamba ni kwanini hasa serikali ya CCM inaogopa jiji la Dar es salaam lote kuwa chini ya UKAWA....???

Jibu lake ni kwamba serikali ya CCM inaogopa kuwa UKAWA watakapochukua mamlaka za jiji lote la Dar es salaam ule Wizi wao, uchafu wao,Ufisadi wao na ukiritimba wao utakuwa bayana machoni mwa wananchi hivyo kuzidi kuwapa wakati mgumu zaidi katika nyakati zijazo za chaguzi mbali mbali hasa ikizingatia kuwa wananchi wa nyakati hizi kidogo wana uelewa wa mambo na uthubutu wa kuhoji mambo mbali mbali yanayo wagusa moja kwa moja....

Ni kichaa pekee ndiye asiyejua kuwa jiji la Dar es salaam ndio jiji linaloongoza kwa kukusanya mapato mengi zaidi kutokana na wingi wa watu na biashara mbali mbali zinazofanyika ndani ya jiji hili....lakini mapato hayo yanakutana na mchwa wengi wenye meno makali ya kutafuna visivyo halali yao.....hivyo kufanya hali ya mandhari ya jiji kutoendana na makusanyo yake...

Kutokana ufisadi na wizi wa mapato katika jiji hili imefanya jiji hili kuongoza kwa uchafu kila mahali hadi katikati ya jiji.....imefanya jiji hili kuwa na hali mbaya kiusalama hasa nyakati za usiku kutokana na kutokuwa na mataa ya mitaani...mabara bara mengi ya jiji hili hayapitiki hasa kipindi cha mvua kutokana na ubovu wake na miundombinu chakavu ya mifumo ya maji taka....yapo mambo mengi mabaya ambayo nikiyaa orodhesha hapa inaweza kuchukua hata masaa mawili...lakini mambo yote hayo hayaonekani na viongozi wa manispaa mbali mbali za jiji hili kwa kuwa vipaumbele vyao ni kuyatumikia matumbo yao na sio wananchi........

Habari njema ni kwamba UKAWA kupitia mipango na mikakati yao mizuri wanataka kuibadilisha hali hii ndani ya jiji hili....wanataka kuifanya Dar es salaam iwe na hadhi sawa na majiji mengine huko duniani....wanataka kuiweka Dar es salaam katika sura nyingine kabjsa.....wanataka Dar es salaam ipige hatua kutoka hapa ilipo jambo ambalo serikali ya CCM ililishindwa kwa kipindi chote cha uongozi wao...

Ninachowaomba wanaCCM ni kwamba lazima wajue kuwa nyakati zinabadilika hivyo wanatakiwa waendane na wakati...kama tuliwapa mamlaka kwa kipindi chote hicho na wakashindwa kutuondolea kero za jiji na ndio sie tulioamua kuwapumzisha kupitia masanduku ya kura tukitaka tuangalie pia uwezo wa wengine katika kutatua kero za jiji hili....hata wao wasipoturidhisha tutawapumzisha.....
Waache demokrasia ichukue mkondo wake....

Nawasilisha......
 
Kamwe CCM-JIPU haliweze kujikamua lenyewe, Ni lazima likamuliwe na Wanamapinduzi/Wanamageuzi wa ukweli wasio na U-CCM..!
 
Kama kuhusu ufisadi kuibuliwa mbona prezda MA anayatumbua so hilo haliitaji paka UKAWA
 
Tuwaache CCM wajinafasi kileleni. Hiyo ndo faida ya kushinda uchaguzi. Sisi tujilaumu wenyewe kwa kushindwa kuwa na strategy nzuri kabla ya uchaguzi. Tulikubali kuingia kwenye uchaguzi na sheria na katiba zile zile tulizokuwa tunazilalamikia. Tuliingia kwenye uchaguzi tukiwa na mgombea yule yule tuliyemsema miaka nane kuwa ni fisadi. Tunapaswa kujitafakari na kuchukua hatua ili 2020 yasitukute tena
 
Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI ndiye wa kulalaumiwa kwa mkwamo na uhuni huu. Naye ni JPM.
Sasa pamoja na kujiaminisha kote kuwa ni mtu wa haki na kuwaomba wananchi wamuombee, kwa nini anaruhusu uhuni huu na kushiriki? Jee kuna haja ya kumwamini tena au kumchukulia kuwa hana tofauti na wengine kwenye chama chake?
 
Nadhani sasa makada tunachanganyikiwa. Badala ya kujilaumu wenyewe tunawalaumu mpaka wasiolaumika
 
Habari za muda huu wapendwa.....

Ni wazi kuwa kila jicho la muumini wa demokrasia ,mpenda haki na mpenda maendeleo au mabadiliko limeelekezwa kwenye uchaguzi wa Meya wa Jiji hili linalosemekana kuwa ni jiji la maraha.....ukizingatia kuwa wapinzani (UKAWA) wana uhakika wa kumtoa meya kwa asilimia zaidi ya mia kutokana na wingi wa wapiga kura kwenye uchaguzi huo hivyo kuongeza msisimko zaidi kwenye uchaguzi huo....

Sarakasi zinazofanywa na serikali ya CCM kupitia mamlaka yao katika kuukwamisha uchaguzi huo zinazusha maswali mengi katika vichwa vya wapenda haki na waumini wa mabadiliko.....
Kiukweli ni miujiza pekee ndiyo itakayofanya CCM kuchukua kiti cha umeya mwaka huu kwa kutazama tu idadi ya wapiga kura(madiwani)..labda na ubabe ambao wameshauzoea kuufanya.....

Sasa swali la msingi ni kwamba ni kwanini hasa serikali ya CCM inaogopa jiji la Dar es salaam lote kuwa chini ya UKAWA....???

Jibu lake ni kwamba serikali ya CCM inaogopa kuwa UKAWA watakapochukua mamlaka za jiji lote la Dar es salaam ule Wizi wao, uchafu wao,Ufisadi wao na ukiritimba wao utakuwa bayana machoni mwa wananchi hivyo kuzidi kuwapa wakati mgumu zaidi katika nyakati zijazo za chaguzi mbali mbali hasa ikizingatia kuwa wananchi wa nyakati hizi kidogo wana uelewa wa mambo na uthubutu wa kuhoji mambo mbali mbali yanayo wagusa moja kwa moja....

Ni kichaa pekee ndiye asiyejua kuwa jiji la Dar es salaam ndio jiji linaloongoza kwa kukusanya mapato mengi zaidi kutokana na wingi wa watu na biashara mbali mbali zinazofanyika ndani ya jiji hili....lakini mapato hayo yanakutana na mchwa wengi wenye meno makali ya kutafuna visivyo halali yao.....hivyo kufanya hali ya mandhari ya jiji kutoendana na makusanyo yake...

Kutokana ufisadi na wizi wa mapato katika jiji hili imefanya jiji hili kuongoza kwa uchafu kila mahali hadi katikati ya jiji.....imefanya jiji hili kuwa na hali mbaya kiusalama hasa nyakati za usiku kutokana na kutokuwa na mataa ya mitaani...mabara bara mengi ya jiji hili hayapitiki hasa kipindi cha mvua kutokana na ubovu wake na miundombinu chakavu ya mifumo ya maji taka....yapo mambo mengi mabaya ambayo nikiyaa orodhesha hapa inaweza kuchukua hata masaa mawili...lakini mambo yote hayo hayaonekani na viongozi wa manispaa mbali mbali za jiji hili kwa kuwa vipaumbele vyao ni kuyatumikia matumbo yao na sio wananchi........

Habari njema ni kwamba UKAWA kupitia mipango na mikakati yao mizuri wanataka kuibadilisha hali hii ndani ya jiji hili....wanataka kuifanya Dar es salaam iwe na hadhi sawa na majiji mengine huko duniani....wanataka kuiweka Dar es salaam katika sura nyingine kabjsa.....wanataka Dar es salaam ipige hatua kutoka hapa ilipo jambo ambalo serikali ya CCM ililishindwa kwa kipindi chote cha uongozi wao...

Ninachowaomba wanaCCM ni kwamba lazima wajue kuwa nyakati zinabadilika hivyo wanatakiwa waendane na wakati...kama tuliwapa mamlaka kwa kipindi chote hicho na wakashindwa kutuondolea kero za jiji na ndio sie tulioamua kuwapumzisha kupitia masanduku ya kura tukitaka tuangalie pia uwezo wa wengine katika kutatua kero za jiji hili....hata wao wasipoturidhisha tutawapumzisha.....
Waache demokrasia ichukue mkondo wake....

Nawasilisha......
Pole sana kwa kuonesha kwamba wewe ni Nyumbu uliekubuhu maana inaonekana hata hujui mamlaka za kiutawala na muundo wa jiji la Dar es salaam maana ungejua wala yasingekutoka maneno yote hayo.
 
Asante ndugu.....lakini nakutuma ukawaambie maboss zako kuwa maji ya mafuriko hayazuiwi na kibakuli....
 
Bahati nzuri au mbaya mm sina bosi bosi ni mimi mwenyewe labda wewe kawaombe Nyumbu wakupe elimu ya muundo wa jiji ili uweze kuchangia vizuri
 
Mada inahusu uchaguzi wa Meya,tuliza akili unaposoma mada halafu ndo ujibu.
Tuwaache CCM wajinafasi kileleni. Hiyo ndo faida ya kushinda uchaguzi. Sisi tujilaumu wenyewe kwa kushindwa kuwa na strategy nzuri kabla ya uchaguzi. Tulikubali kuingia kwenye uchaguzi na sheria na katiba zile zile tulizokuwa tunazilalamikia. Tuliingia kwenye uchaguzi tukiwa na mgombea yule yule tuliyemsema miaka nane kuwa ni fisadi. Tunapaswa kujitafakari na kuchukua hatua ili 2020 yasitukute tena
 
Pole sana kwa kuonesha kwamba wewe ni Nyumbu uliekubuhu maana inaonekana hata hujui mamlaka za kiutawala na muundo wa jiji la Dar es salaam maana ungejua wala yasingekutoka maneno yote hayo.
Kichekesho hivii... hebuu jitizame vizuri huenda ww ndo hujitambui kama ni nyumbu ngucheerro.
 
Sijakuelewa. Mie nazungumzia Uchaguzi wa meya wa jiji.
Huyu ameeleweka vizuri tu. Ni kwamba anawashanga wanalumumba wenzie kwa kuroutambua ukweli kuwa chama ya mafisadi kwa sasa inapumulia nyuma badala ya mbele
 
Back
Top Bottom