englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Raisi wa Nigeria mbona simuoni hapo??
Hata rais wa china hayupo nchi inayoongoza kwa uchumi duniani
Hapo alikuwa bado putin-russia
Facts about China's economy - Business InsiderToka lini!?...ni mpaka 2050..Na apo ni iwapo tuu uchumi wa U.S utakua stagnant....
pitia kwe web ya world bank uone
Wadhungu...!! wangine tunawita G7,G8 !!Wanaitwa kina nani hao.......?.
Russia haipo G7..walikua suspendend kutokan na ishue ya ukrain