Hii ndio dawa ya mwanaume mbeya.

Kifupi tu HUNA ADABUNA UNAITAFUTA LAANA!
 

Kiukweli we wa kiume umewachefua watu!!Hebu acha kuonesha ujinga wako mbele za watu ovyo ovyo hee!
 
hiyo wala sio akili nakwambia, kwani una umri gani!

Hakuna haja ya kujua umri wake, huyu ni wale wanaovaaga visuruali vimewakaba miguu halafu boxer zao chafu na chupi zinaonekana ha ha ha, nadhani umeshajua ana umri gani mtoa mada.
 
We kweli kilaza! Umekosa ya kufanya had unapost ujinga wako huo? Ngoja akutafutie majamaa wakule 0713 kisonoko
 

Sasa hapo umemkomoa huyo jamaa au umemfedhehesha mama yake asiye na hatia? Natamani na wewe siku moja upelekwe kwenye kisa cha mama yako kufumaniwa na kijana saizi ya mtoto wake ndio ujue ubaya wa ulichofanya.

What goes around comes around.
 


Mskaji anakusikitikia kwani Maza huyo anangoma kitaa wote wanajua na hawakuuambia wewe mgeni. Alishuhudia ukimla kavu kavu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…