Mkuu watu8,TZ ni zaidi ya unavoijua!Inaudhi sana kuona hali hiyo ikijitokeza kila wakati wa kipindi cha mvua hata za manyunyu tu,ilhali kuna wataalamu wameajiriwa na wanapokea mshahara kila mwezi kwa ajili ya kuhakikisha miji yetu iko safi na nadhifu na pia salama wakati wote wa mwaka.Labda kwa vile sisi ni taifa la kuishi kwa kutegemea misaada kutoka kwa wazungu,basi tusubiri waje watuondolee hiyo kero ambayo kwetu uwezo wetu wa kuwaza na kuwazua ili kupata ufumbuzi umegota! TZ mambo yetu Januari hadi Desemba ni "business as usual"! Who cares bwana!