Hii ndio ccm

Halafu kavaa hijab, huyo ni wa kuchapwa viboko.
 
Namuonea huruma huyu school boy
 
Hako kadogo katakuwa kashakojoa tuu...hahaaaaa
 
Halafu kavaa hijab, huyo ni wa kuchapwa viboko.
Siku hizi hizo ni fashion tu dadangu na wengine wanavaa kujikinga na jua tu, maana kuna wengine amekupigia hijabu ya nguvu huku chini ana suruali imembana balaa na ukute kabarikiwa nyama sasa
 
Pia wengine huvaa ili kujificha na macho ya walimwengu ili wanapoingia room( usiniulize kufanya nini) wasigundulike ni Kituko kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi hizo ni fashion tu dadangu na wengine wanavaa kujikinga na jua tu, maana kuna wengine amekupigia hijabu ya nguvu huku chini ana suruali imembana balaa na ukute kabarikiwa nyama sasa

Kwakweli umekuwa mtihani. Hata hayo mabaibui sasa hivi ni balaa tupu!
 
ngoja ccm iwape mahakama ya kadhi

Kuna mengi tunayoyahitaji zaidi ya mahakamana ya kadhi,na CCM wameshindwa yote hayo kwa miaka 54, hawana jipya....wapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…