Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,720
- 140,446
Halafu walivyo na akili ndogo hawaoni kama wanamtukanisha huyo Rais anaonekane anapenda vitu vya hovyoWanamjua kichwa chake that's why kila mtu anajaribu kujikosha kwake
Bongo bhana...View attachment 3701924
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eng. Maryprisca Mahundi amesuka msuko wenye jina la Rais Samia kichwani mwake, Asema Samia ni kama Maji
Naona wanashindana na Dkt. Gwajima D kupiga vituko na drama kama Gen Z
View attachment 3701924
Huyo Mary-Prisca ni fala wa kike.Look at her head!Chawa mwenye kityempe!View attachment 3701924