Crazy genius
Member
- Apr 26, 2016
- 44
- 34
Kama ndio kubana matumizi kuelekea mei mosi sasa mtaweka rekodi ya dunia nilikuwa napitapita nikakutana nayo nikaona si mbaya wana jf kushare
Hizo ni T-shirt za CWT za May day...wamepelekea walimu za size kuubwaa.Duka la picha hapo mkuu.
Ok mkuu. Mimi nikaona kama photoshop vile. Basi itakuwa ni T-shirt ya aina yake kwani hadi watu wazima wawili wenye miili mikubwa hivyo kuweza kuingiza vichwa hadi viwiliwili sijui hiyo Tshirt ni ya size gani. Ni zaidi ya XXXL (kama siyo photoshop).Hizo ni T-shirt za CWT za May day...wamepelekea walimu za size kuubwaa.