killo JF-Expert Member Jul 13, 2008 401 94 Apr 27, 2011 #1 Katika pita pita zangu nikakutana hayo, tizama picha Attachments 14022011582.jpg 188.3 KB · Views: 82 14022011583.jpg 186.9 KB · Views: 64 14022011584.jpg 180.3 KB · Views: 66
Architect E.M JF-Expert Member Nov 15, 2010 1,211 1,363 Apr 27, 2011 #2 inategemea ilikua mda gani... Kama ilikua mda wa kazi umeshapitta na sasa ni muda wa kupumzika, na pengine nyumbani kwake ni mbali mpaka aende akabadilishe uniform, bora aanzie hapo hapo... Ila kama ni muda wa kazi, then thats a mistake
inategemea ilikua mda gani... Kama ilikua mda wa kazi umeshapitta na sasa ni muda wa kupumzika, na pengine nyumbani kwake ni mbali mpaka aende akabadilishe uniform, bora aanzie hapo hapo... Ila kama ni muda wa kazi, then thats a mistake
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Apr 27, 2011 #3 Tatizo ni kuwa yupo na sare za kazi, wale wasio na sare mbona wanatandika muda wa kazi??
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,953 Apr 27, 2011 #4 Kazi na dawa baba tehe tehe tehe.
killo JF-Expert Member Jul 13, 2008 401 94 Apr 27, 2011 Thread starter #5 Kaka huyo jamaa alikuwa akifanya hivyo muda wa kazi na gari ya kazi alikuwa ameipark hapo penmbeni tuu huoni rangi ya blue hapo na chuma za nyuma
Kaka huyo jamaa alikuwa akifanya hivyo muda wa kazi na gari ya kazi alikuwa ameipark hapo penmbeni tuu huoni rangi ya blue hapo na chuma za nyuma