Hii nayo imo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nayo imo....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by killo, Apr 27, 2011.

 1. killo

  killo JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Katika pita pita zangu nikakutana hayo, tizama picha
   

  Attached Files:

 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  inategemea ilikua mda gani... Kama ilikua mda wa kazi umeshapitta na sasa ni muda wa kupumzika, na pengine nyumbani kwake ni mbali mpaka aende akabadilishe uniform, bora aanzie hapo hapo... Ila kama ni muda wa kazi, then thats a mistake
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa yupo na sare za kazi, wale wasio na sare mbona wanatandika muda wa kazi??
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Kazi na dawa baba tehe tehe tehe.
   
 5. killo

  killo JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kaka huyo jamaa alikuwa akifanya hivyo muda wa kazi na gari ya kazi alikuwa ameipark hapo penmbeni tuu
  huoni rangi ya blue hapo na chuma za nyuma
   
Loading...