Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,575 Reaction score 18,003 May 8, 2017 #1 Wadau heshima kwenu..tukiwa bado kwenye maombolezo ya watoto wetu kule Arusha..Huku Tanga inagonga mvua ya kiwango cha lami.. Hii mvua ni kubwa sana na kuna baadhi ya maeneo tayari kuna taarifa za maafa...yaani. hakutokeki..
Wadau heshima kwenu..tukiwa bado kwenye maombolezo ya watoto wetu kule Arusha..Huku Tanga inagonga mvua ya kiwango cha lami.. Hii mvua ni kubwa sana na kuna baadhi ya maeneo tayari kuna taarifa za maafa...yaani. hakutokeki..