mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
hivi mnajua maana ya mwanamke kuingia period? Baada ya kusex na mimi aliingia kwenye siku zake kama kawaida! Kama mimba yangu ilikuwaje akaingia? Nendeni mkasome kwanza inakuwaje mwanamke anaingia mp ndo mjibu hapaduu iyo ni yako usikwepe majukumu mkuu
Tunza mimba acha kukwepa majukumu ila wewe na huyo nabii hamna tofauti
kwa kukusaidia mwanamke anaweza kutokwa damu akidhani ni mp, wengine hata 2 months before kujifungua. googlehivi mnajua maana ya mwanamke kuingia period? Baada ya kusex na mimi aliingia kwenye siku zake kama kawaida! Kama mimba yangu ilikuwaje akaingia? Nendeni mkasome kwanza inakuwaje mwanamke anaingia mp ndo mjibu hapa
Hahahahaha
Maliza kunywa hivo juice tuingie kwenye maombiHahahahaha
Siongelei damu ya kawaida bali ile ya siku zake kama karenda yake inavyodaikwa kukusaidia mwanamke anaweza kutokwa damu akidhani ni mp, wengine hata 2 months before kujifungua. google
Yap iko hivyokwa kukusaidia mwanamke anaweza kutokwa damu akidhani ni mp, wengine hata 2 months before kujifungua. google
Watu wengine wapo hivo, anakua mjamzito na siku zake anapata kama kawa kuja kushtuka tumbo lishakua kubwa mtoto anacheza, mtwae tu huyo mwanakondoo wa bwana ukawe mchungaji wakeSiongelei damu ya kawaida bali ile ya siku zake kama karenda yake inavyodai
Mwanamke akiwa bikra halipi kodi?..Au unamaanisha nn?Hapo mbona panautata sana. Kama aliingia mp ni muda gan baada ya nyie kukutana? Maana unawezakuta yeye na ugen wake hata hiyo mp hakuielewa. Na kama alienda mp ilikua kawaida kama mp nyingine?