ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Huwezi kucomplicate kiasi hicho hadi unasema eti umeulizia kipimo hata Dar es salaam hakuna. Mbona unakuwa mwongo wewe kwani utrasound hawezi kupimia?
Mbona unahama kwenye topic kwani baada ya kupima akajikuta mjamzito amekuambia kuwa damu zimemtoka?Tatizo lako ni ubishi. Nimesema nimeulizia hCG sikupata jibu kama kipo Bongo. Hicho sio kipimo complicated.
Ultrasound ina limitations zake. Unadhani ultrasound inaweza kukwambia kama mimba imetoka au iko tumboni always?
Mbona unahama kwenye topic kwani baada ya kupima akajikuta mjamzito amekuambia kuwa damu zimemtoka?
inaitwa implementation bleeding
Habarin jamvini... Naomba experience na utaalam wenu kuhusu hii mimba.
-Tarehe 21march,2013 nilikutana naye kimwili (bila kinga)
-Tarehe 10 April, 2013 akaingia bleed kama kawaida.
-Siku chache baada ya bleed kukata (ilimchukua siku 4 na ndo kawaida kwake) akaanza kuhisi dalili za ujauzito..nikamshauri akapime.
-Jana April 17 amepima na majibu yanaonyesha ni mjamzito.
katika experience yangu ya haya mambo hiki ni kitu kigeni kwangu.
NB: MHUSIKA NI MKE WANGU HALALI WA NDOA NA HII NI MIMBA YAKE YA KWANZA.
ZeMarcopolo ametoa sababu mbili za huyo mama kutokwa na hedhi, mosi huenda mimba ikawa imetoka pili anaweza akawa na ectopic kitu ambacho sio kweli. Mama mkwe hujambo lakini
Bwana Mundu tatizo sio Mimba. ishu ni mwanamke kushika mimba na bado akaingia ktk sku zake. this have been strange to me. siko hapa kulalamikia mimba. niko hapa kushere experience katika hili. Thanks.
Mda mwingine siasa zinakupotosha, jamaa anasema ujauzito umegundulika baada ya kutoka bleed wewe unasema mengine. Jaribu kusoma vizuri hapa hatuko lumumba