Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
86000x12=1,032,000Kokotoa kabisa hesabu hapo.. Wengine umetuacha
Basi hao watakua filimason...86000x12=1,032,000
Yani ndiyo ela atakayolipa wakati amechukya milion 2 yeye anarejesha 1,032,000 kama siyo utapeli ni nini.
Mkuu unaweza tusaidia kitu,ni lini na wapi mikopo ya aina hii imetolewa?ili tuaminiMBONA SIO MARA YA KWANZA MIKOPO KAMA HIYO KUTOLEWA!HIYO MIKOPO NI MAALUMU KWA WAKULIMA NAYAJUA HAYA COZ TANGA NDIO UKWENI
Uliza mkuu,maeneo mengi wamefika,makorora,mwahako nknknkTanga sehemu gani?mbona sijawai kusikia hii habari au sababu sio mkopaji!?
Mkuu lakini Nmb ndio watoaji wa Kadi na ndio wahamasishaji wakubwaHaihutaji uwe na degree kujua kuwa ni utapeli yani kama kuna aliyetapeliwa nadiriku kusema ni mburura
Ukishatoa hiyo hela huwaoni tena hao watu na Picha linaishia hapoSalaam,wana jukwaa kuna jambo linaendelea huku mkoa wa Tanga,ningependa kushare nanyi pengine kuna wanaofahamu kuhusu jambo hili, iko hivi kuna watu wanashirikiana na Nmb kuzunguka mkoa mzima wakijinadi kua ni watoaji mikopo,mikopo hiyo yenye sharti la kua na kitambulisho cha kura tu,kumezuka sintofahamu kwa namna ya ukopaji, wanavyodai ukikopa mil 2 unatakiwa urejeshe Sh 86000 Kila mwezi kwa miezi 12 , hapa ndipo panapochanganya ukipiga hesabu ya haraka utagundua kua mkopeshaji hapati faida zaidi ya hasara sababu marejesho hayafiki hata kiwango ulichokopa,humu kuna wajuvi wa mambo lukuki,mweye ufahamu kama hawa jamaa wameshapita maeneo ya Kwao atupe taarifa na Kama kweli wanatoa mikopo pia atupe taarifa,aina hii ya mikopo sijapata ona popote duniani, kujisajili kwenye Hiyo mikopo ni Sh 20000 kwa Tanga na Sh 40000-80000 kwa wilaya zingine za Tanga.
Note:utapeli umekua mwingi sana siku za karibuni, tuna wasiwasi.
Lakini nmb wamo naoUkishatoa hiyo hela huwaoni tena hao watu na Picha linaishia hapo
Wamo kwenye nini??Lakini nmb wamo nao
LUSHOTO =LUKOZI +MLALO +MTAEMkuu unaweza tusaidia kitu,ni lini na wapi mikopo ya aina hii imetolewa?ili tuamini
Kama ni kweli itakua jambo jemaLUSHOTO =LUKOZI +MLALO +MTAE