Hii message inamaanisha nini kwenye J7?

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,269
Reaction score
1,107
Habari wandugu! Ninamiliki Samsung J7, tangu juzi inaniletea message kama inavyojionesha kwenye picha hapo. Msaada please how to resolve this:
K
 
kama sijakosea ni process ya gallery, naiona onedrive kwa juu hapo sio hio ndio inacrash gallery? una backup vitu vyako?
 
Ndiyo mkuu nafanya camera pics back up. Ila pia hata nikiplay videos kuna muda inakuja hiyo alert
 
ni process inayohusiana na picha na video sauti nk hivyo nafkiri kwa hapo onedrive ikibackup hizo picha inacrash.

unapoplay video ikija hio error si video nayo inaendelea kuplay?
 
Inaacha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…