Hii mechi utaitazamia wapi leo?

Benchi La Ufundi Lote Liwajibike Kuhusiana Na Hili Bandiko.
 

Huko Nyuma Sikumwelewa Kocha Jamhuri Kihwelo Pale Aliposema Kuwa Wananchi Wa Brazil Wakiwa Wanataka Kuangalia Kipindi Cha Vichekesho Cha Comedy Huwa Wanawekewa Mechi Za Timu Ya Taifa Ya Tanzania " Taifa Stars " Na Huwa Wanafurahi Na Kucheka Sana Kama Sisi Huku Tunavyochekeshwa Na Akina Original Komedy, Vunja Mbavu Na Wengineo. Ila Sasa Kwa Mwenendo Wa Timu Yetu Na Haswa Mechi Hizo Mbili Tu Za KOSAFALA Huko Bondeni Kwa Madiba Ile Kauli Ya Julio Nimeshaielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…