hii maanake nini sasa !?

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
jamani mwanzoni nilidhani namuhisia vibaya ila nikaja ku realize ni kweli msichana wangu anatabia ya kunisearch mifuko wakati nimevua suruali nakwenda kuoga mara zote alizokuwa akija room nilikuwa nahisi ichi kitu kwasababu siku ukiwa na hela kwenye wallet utasikia anaanza 'baby unajua hizi nywele zinaweek kichwani mara sijui "kunagauni nilikopa kwa 'tifa muda wa kulipa pesa zake umeshafika, hapo hajanikumbusha tu basi." mi nikawa NAIULIZA KAJUAJE KAMANINAHELA nikawa namchunia ......nikawa naweka pesa kidogo kwenye wallet ..akija mkiduu mmemaliza ukienda bafuni ukirudi hausikii mambo ya pesa tena ...sasa nilipokuja ku realize n ni juzi nilipo kwenda kwake kwa makusudi nikajifanya nimesahau kondom kwenye wallet kama kawaida tukaduu pale mi nikaenda bafuni kurudi mwenzangu kanuna kuja kuuliza nini tatizo naoneshewa packet ya kondom nikamshangaa nikamwambia kuwa mbona hiyo niliweka kwa makusud kwa kujiandaa endapo angekuwa yuko period tungetumia hiyo kwani nilikuwa nahamu nae sana na yeye mwenyewe alishaniambia kuwa hiyo siku mambo yangeanza muda wowote basi nikayamaliza hivo ila point ya msingi nikajua kweli huyu mwanamke huwa anani SEARCH kunanini hapa jamani.....je hakuna mapenzi na anapenda hela au wivu wake tu wa kijinga ama nini?
 
mwenye macho haambiwi tazama kwa kifupi huyo demu yupo kipesa zaidi,tafakari chukua hatua
 
Ngoja mi niende nje ya mada... "mna-do akiwa kwenye hedhi? ptuuuu! " khaaaaaa! Bora leo nimekunywa chai mapema..
 
kuna nilivyovigundua inawezekana:
1.huyo binti anapenda sana pesa na hamtadumu ukiwa choka mbaya,endapo akitokea kibopa zaidi yako huna chako!
2.huwa upo kisiri sana kwake hivyo akiona pesa halaf ukamwambia huna pesa apate dought!!
3.wewe ni m'bahiri sana mpaka anachukua uamuzi m'baya!
 

u a right!!
 
Tembea na ATM VISA au Master card kama mimi...
 
Point of correction...ni kosa la kimantiki kumwita mpenzi wako 'msichana wangu' si lugha ya kiungwana hata kidogo...hayo ya kusachiana watakuja wasemaji wake muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…