Habarini ndugu zangu...Ninatumia laptop aina ya TOSHIBA SATELLITE C850..ilikuwa ipo perfect hadi siku moja nilipoamua kubalisha windows(Niliweka 7 Ultimate kureplace Win 7 Prof)..tatizo lililotokea ni sauti haisikiki vizuri nikichomeka earphones/External speakers...nimejaribu kila njia kusolve lakini wapi...nimebadili windows zaida ya mara 5 ili isaidie lakini hamna kitu...naomba mwenye uelewa anisaidie,..sasa hv narun windows 8.1...Asanteni