msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
Soma hiyooooo camon men
Wee unajua kupenda ama unasema tuu. Watu wanakaa kwa kuwa anauhakika wa papauchi bwana. Unajua kuwinda kunachukuwa muda...sasa kama umemkuta demu boya anagawa papuchi tuu kwa nini mwanawane usijigegedee tuu.Wakati una date nae hukua unampenda? Yaani unakaa na mtu siku zote kisha useme humpendi?? Itakua wendawazimu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii clip naipenda sana yaani nikiwa nina pata kausingizi nikiicheki tuu na kucheka usingizi umeyeya hahahahSoma hiyooooo camon men
Wee naona huwajui wanawake...usiwe na huruma kabisa...kumbuka wao ndio chanzo cha sie kuteseka hapa duniani. Usiwahurumie kabisa.Ni kweli, lakini Bora ukawa mwaminifu ukamwambia ukweli, mfano unaweza ukakutana na mdada ana matatizo sana mfano kafiwa na wazazi wake Hana amani, ukamfariji wakati wote, akajisikia faraja na akazidi kukupenda na kutamani kuishi nawe, zaidi akakueleza nia yake ya kuishi nawe kama wapenzi, ukakubaliana naye na mkaishi hivo kwa mda mrefu, akazidi kujickia faraja mda wote,
Je unaanzaje kumwambia kuwa huna mpango naye unataka kwenda kwa mwingine?
Tuwe na Huruma sana wanaume, Bora kuwa wawazi
HahahaaaaaaaaWanaume wote wenye huruma tukutane hapa![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaaaaaaa
Mamaeeeee jinsi unavyozichakaza vyura vya watu halafu leo unajiona mwenye huruma.
Maendeleo hayana chama