msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
....Ukweli ni kwamba wanaume wengi Wanaoa wanawake kwa kuwaonea Huruma, ili ni kosa kubwa Sana,.....Labda kwa sababu kamzalisha au kwa kadate nae muda mrefu, yaani ni Kama SYMPATHY
vile.Oa mwanamke kwa sababu unampenda na Si Huruma juu yake.
WANAUME TUNA HURUMA SANA, AMBAO MWISHONI UNA TUKOSTI
Sent using Jamii Forums mobile app
vile.Oa mwanamke kwa sababu unampenda na Si Huruma juu yake.
WANAUME TUNA HURUMA SANA, AMBAO MWISHONI UNA TUKOSTI
Sent using Jamii Forums mobile app