Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Huyo jamaa ni wewe........?
ha haa haaa!atakuwa yeye eti?ilq anafanya kutuzunguka
Sikiliza kijana, hakuna urafiki wa msichana na mvulana, lazima uta end in sex, ile nguvu ya neg and pos haipingiki, hiyo ni nature Mungu katuumba nayo, jinsi mwanamke na mwanaume wanapokuwa pamoja kwa muda mrefu na kuonana kila wakati wakiwa wenyewe faragha, lazima kunakitu itatokea