We uko upande gani kati ya wanawake wapole au mcharuko? Temmi nifanye maamuziHasa wanaume wapole na wenye mapenzi ya kweli wanapata wanawake mcharuko sana na pasua kichwa
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanaume walioranduka wanapata wanawake watulivu, na wanaume waliotulia wanapata wanawake walioranduka??
Naomba experience yako kama umeshakutana na scenario kama hizi.
Futari njema
We uko upande gani kati ya wanawake wapole au mcharuko? Temmi nifanye maamuzi
Mi nipo upande wasio mcharuko
Wewe ulivyoranduka umepata partner Wa VP? Kipimo tosha.
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanaume walioranduka wanapata wanawake watulivu, na wanaume waliotulia wanapata wanawake walioranduka??
Naomba experience yako kama umeshakutana na scenario kama hizi.
Futari njema
Basi according to the above statement ya muanzisha mada sisi hatuendani. Maana we are bird of same color
It sometimes applies and sometime not