HII KITU ITATOBOA?

Ndata

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
227
Reaction score
333
Mwaka 2006 waganda walikuja na idea kama hii kwa Rais Museven, mwanzo ilikuwa ignored ila wakati wa uchaguzi mkuu ikawa bonge la dili na mzee akatoboa.

Project iliitwa Another Rap, sisi km Cwu tumeamua kuja na aina ile ile ila ikiwa na marekebisho kidogo. Project inaitwa Watapata tabu sana. Kindly pitia link hii kisha uache comment.

Kila neno analosema Magufuli huwa ni punch line nzito sana, sio mbaya hotuba zake zikafanyiwa utundu ili kufikia wengi. Usisahau Ku subscribe.

kama ulipitwa na hili dude, msikilize hapa Mh Magufuli katika ubora wake.

*kweli watapata tabu sana*


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni ndata, means police no wonder you talk such shit mkuu, utanisamehe kwa kutumia lugha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…