SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Feb 28, 2013 #2 Hizi vitu nikizikuta ndani naweza toa macho mpaka yakawa yanadondoka tena naanza kuyatafuta kwa kupapasapapasa
Hizi vitu nikizikuta ndani naweza toa macho mpaka yakawa yanadondoka tena naanza kuyatafuta kwa kupapasapapasa
A agosti 8 JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 3,575 Reaction score 2,582 Mar 1, 2013 #3 duu! ama kweli mkuu MBUZI,inasuuza si kidogo! "The question is not what you look at, but what you see"
duu! ama kweli mkuu MBUZI,inasuuza si kidogo! "The question is not what you look at, but what you see"
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Mar 1, 2013 #4 Ukiona mtu ana hasira asubuhisubuhi, ujue labda ameziota hizo, alipoamka hakuziona.
Blue G JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 5,339 Reaction score 3,674 Mar 1, 2013 #5 Shetani hizo jamani maana hizo hizo zinaua mtu wakati ni karatasi tu unazoweza kuzichana au kuzichoma hadi kuwa majivu na wala zisiweze kuurudisha uhai wa mtu hata zijae dunia nzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Shetani hizo jamani maana hizo hizo zinaua mtu wakati ni karatasi tu unazoweza kuzichana au kuzichoma hadi kuwa majivu na wala zisiweze kuurudisha uhai wa mtu hata zijae dunia nzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Mar 1, 2013 #6 ndo maana watu wanakuwa majambaziiii!!!
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 301 Mar 1, 2013 #7 Fahari ya macho haifirisi duka