Mkuu ni sahihi kabisa. Niliwahi kwenda safari moja hapo Cairo sikuamini macho yangu. Wadada walikuwa wamekula vimini wanaingia Night Club saa 6 usiku na kutoka saa 4 asubuhi.
Mkuu ni sahihi kabisa. Niliwahi kwenda safari moja hapo Cairo sikuamini macho yangu. Wadada walikuwa wamekula vimini wanaingia Night Club saa 6 usiku na kutoka saa 4 asubuhi.
Waziri wa Nchi anayeshugulika masuala ya uhamiaji na wamisri waliopo nje (diaspora) Bi. Nabila Makram.
Hapa nadhani serikali ya Tanzania, hili suala la diaspora waende kujifunza Misri jinsi ya kuwashirikisha watanzania waliopo nje washiriki ktk ujenzi wa uchumi na diplomasia.
Minister of Immigration Nabila Makram announced launching "Talk Arabic" or Etkalem Arabi initiative that aims at protecting the Egyptian identity among ...
Wakuu,
Kabla ya uvamizi wa Afrika, Waafrika tulikuwa na dini gani? Hatukuumbwa na Mungu huyo aliyeumba wazungu na waarabu? Ina maana dini za Waafrika hazikuwa za maana? Je, hizi dini tulizoletewa na wavamizi wa Afrika siyo kwamba ni "ahsante ukoloni?"
Tusaidiane maarifa ili sote tupone!