kosa lilishafanyika hapo mwanzo wakati uhusiano unaanza, kama huyu madame angekuwa mkweli angemwambia mdau kabla mambo hayajanoga kwamba nina wawekezaji hapa ingekuwa nafasi nzuri kwa huyu bwana kuendelea au kuacha hayo mahusiano.
Kilichotokea ni kwamba huyu jamaa hana lawama kwa sababu hakuwa na taarifa za kutosha kuanzisha huo uhusiano.
Kwa akina dada ni vyema tukawa wakweli pale tunapoanza mahusiano kwani ukweli maumivu yake yangekuwa pungufu kama ukweli ungekuwepa at the beginning.