British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
mkinijibu maswali haya basi UKAWA wamepita na ni washindi ....
1. Wamegundua CCM ni noma, chama kimoja kimoja hakiwezi kuiondoa CCM Madarakani?
2. Zile tofauti za CHADEMA kulaumiana na CUF kuwa kila upande unaunga mkono USHOGA zimekwisha?
3. Kwa tamko hili ni dhahiri CHADEMA watalazimika kuunda bazara la mawaziri vivuli kwa kushirikisha vyama vinavyounda UKAWA, Je MBOWE ana uhakika wabunge wake wa CHADEMA watakuwa tayari kwa hilo?
4. LIPUMBA aliwahi kusema msikitini kuwa WAISLAMU wajipange na wao kutetea Mambo yao, kwa vile KIKWETE waliomchagua kuwatetea amewatosa, Je LIPUMBA atakubali kuona UKAWA wanamsimamisha Mkristo kugombea nafasi ya urais?
5. MPAKA SASA hakuna kiongozi wa juu kabisa NDANI ya UKAWA anayetokea Zanzibar, Je Wazanzibari watakuwa na imani gani na Rais atakayesimamshwa na UKAWA?
6.Endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa akitokea CHADEMA au NCCR-MAGEUZI na Zanzibar wakaunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kati ya CUF na CCM, hIzi serikali mbili zitashirikiana vipi?
Nenda youtube andika Lipumba msikitini upate alichosema, siyo kubisha bila kuwa na data mkuu, ila ninachoweza kusema Ule ujinga aliousema Lipumba hakuna Muislamu anaweza kuushabikia, alidhihirisha tu kuwa hana uwezo wa kuwa kiongoziKwaio Maalimu secrtary general wa CUF sio kiongozi zanzibar.
Lipumba aliwahisema wapi kwamba kigezo cha kugombea ni dini ya mtu
Unafikiria kidogo alafu unajilazimisha kuongea vitu vikubwa.
Hili lazima liwachome sana, na siku zote ukweli unaumaHuchoki kutoa pumba zako humu?anyaway njaa na ujinga ndiyo zinakusumbua!
Mjumbe hauwawi, mleta mada katuletea kitu ambacho kitatokea muda siyo mrefu.Akiri fupi ya kigambagamba
ukweli gani mnafiki mkubwa wewe hizi njaa zitawamalizaHili lazima liwachome sana, na siku zote ukweli unauma
naungana mkono hoja mtoa madaa huenda ni vichaa wa ccm wasiojitambuamodes kila siku nawaambia fungueni jukwaa la matahira hamsikii mnamuona huyo mtoa mada
modes kila siku nawaambia fungueni jukwaa la matahira hamsikii mnamuona huyo mtoa mada
cuf aliburuzwa na chadema kwa hoja ya serikali tatu wakasahau ndani ya rasimu kuna mambo muhimu kuliko hiyo serikali tatu
modes kila siku nawaambia fungueni jukwaa la matahira hamsikii mnamuona huyo mtoa mada