Hii kali

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Mhaya alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu basi angekurudisha laki yako na kukuongeza laki nyingine.Basi MCHAGA akaona hii fursa ya kujipatia hela akaenda kutibiwa.

Mhaya: Unaumwa nini?

Mchaga: Sina taste kabisa msee wangu.

Mhaya:Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.

Mchaga: Puh puh puh (anatema) dah si mkojo huu jamani.

Mhaya: Umepona karibu tena.

Kesho yake mchaga akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.

Mchaga: Aisee Arawa nina tatizo la kumbukumbu nasahau sana aisse.

Mhaya: Nesi naomba kikopo no.27

Mchaga: Asa Chalii wangu icho si cha jana bosii? (mkojo )������

Mhaya: Umepona kumbukumbu unayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…