Hii kali ya mwaka!!!

Hii kali ya mwaka!!!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
UKICHUKIA KAMEZE WEMBE UFE
Girlfriend wako anatokea TEGETA.....wewe unakaa CHAMANZI.....anapanda Tegeta kwa kugombania....hadi Kariakoo....anapanda gari za MBAGALA na zenyewe kwa kugombania anakosa siti....hadi Mbagala.....anapanda za kuja Chamazi..nazo m'banano mkubwa.....anafika geto unakurupuka tu....oooh baby nilikuwa nimekumiss....
unamrukia unamvua nguo...bahati mbaya geto hakuna feni joto kali....unapaparuka unaanza mambo yako uliyoyamiss.....mwisho wa siku yanatokea ya kutokea unakuja kupost facebook status..
"Mademu wengine bwana wachafu wanakuja kunukisha geto...mijasho hawajisafishi kunako..." mara "mademu wengine wazembe hawakatiki wamekaa kama magogo tu" PUMBAVU KABISA
WEWE akate kiuno gani sasa wakati kimechoka kwa kubanwa kwenye usafiri????
SIKIA wewe mselamavi...mchafu ni wewe...tena mjinga usiyekuwa na huruma.....ungetaka afike geto akiwa ananukia pafyumu ungemkodia taksi kuanzia Tegeta...hapo ndo ujue kuwa kama feni limekushinda kununua utaweza kulipia teksi???
***OK ipo hivi...kama teksi huwezi kuwa mstaarabu muache apumzike, muwekee maji bafuni aoge..ndo umalize shida zako sio kumgeuza mtoto wa watu kifaa cha mazoezi kauzu wewe. Ukitaka fastafasta vinavyonukia kanunue changudoa huko Buguruni.
Wanaume tuwe na heshima katika miili ya akina dada...
VIA...ulivyo pimbi unampa nauli ya kurudi BUKU......
 
Hahahahahahahahahahah team Dar hahahahahaha kaaah nicheke tu mieee
 
mleta uzi umepotea njia. ungepost kule jukwaa la mapenzi
 
Hapo ndio huwa naamini kwamba bangi mixing na viroba pamoja na ugoro sio kitu kizuri kabisa, tena ukitumia kabla ya kula
 
Kulikuwa na wimbo wa dansi unasema maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombe!
 
Back
Top Bottom