Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Hawa wenzetu sijui nani kawadanganya . Wao hujiona ni wa kipekee sana. Wakati mwingine hujiona wako juu ya sheria.
Liko tatizo kubwa sana kwa hawa jamaa. Nadhani umefika wakati sasa wa kupitia mitaala ya mafunzo yao.
Wengi wao ukiongea nao ni wa kawaida sana kichwani .Wengine ni weupe kabisa kichwani. Lakini katika utumishi wa uma wanajiona wao ni class ya juu sana.