fikikungetaa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 331
- 79
Leo asubuhi nimebahatika kukutana na mzee mmoja kada wa CCM Dodoma mjini, huyu mzee aligoma kuhamia CDM pale alipoulizwa na waandishi wa habari kwamba anangoja nini kuhama chama tawala.
Leo bahati nzuri tukawa tumekaa mahali tangu saa nne mpaka saa saba nilikuwa namdadidisi kuhusu siasa zetu: Kanijibu kwamba jana waandishi wa habari walimtembelea na kumhoji maswali kama ninayomhoji mimi leo, so akaniambia nitafute gazeti la Rai ili nisome majibu aliyo wajibu waandishi wa habari jana.
Lakini hakusita kunipa baadhi ya mambo kama vile;
Kaniambia baada ya Nyerere mtu Muadilifu anayefuata ni LOWASA, nikamuuliza kwanini?, akasema wote waliopita na waliopa sasa hawawezi kuwa Waadilifu kama Lowasa hivyo akaniambia Tuhuma zote alizobebeshwa Lowasa ni njama za kumchafua tu!. Na akadai kuna kipindi yeye akiwa DC wa Arusha, Lowasa alikuwa katibu so anamjua vizuri sana Lowassa kuliko mtu mwingine yoyete kwenye chama.
Alichonimalizia akaniambia kuwa yeye hawezi kuhama chama maana hatafaidika na kitu chochote, sisi vijana ndio tunatakiwa kuamua chochote maana sisi tuna nguvu na maamuzi mikononi mwetu. Kuhusu Mkapa kutukana: Yeye kashangaa na kusema amejishushia heshima mwenyewe (kakosa uadilifu).
Kuhusu kuhama chama: kadai kila mwananchi ana uhuru wa kuhama chama na anawashangaa wanaowatuhumu waliohama. Katika watu wanaofahamika ndani ya CCM waliohama ni chini ya watu kumi na CCM kuna watu kama mil 9.
So ilikuwa haina haja hata kuanza kuwanyooshea vidole. Zaidi amesema anamuamini Lowasa na si mwingine na kusema kura ni siri ya mtu.
Kanikatisha kwa kuniambia tafuta gazeti la Rai la jana tar 27/08/2015 au la leo nimeyatolea majibu ya yote hayo maswali yako. Kasema hizo tuhuma zote anazotuhumiwa mbona hahukumiwi? ingekuwa kweli wala asingebakizwa mpaka leo.
Lastly, Kwenye nchi hii tangu enzi za TANU waadilifu anaowajua yeye ni akina Nyerere na Lowasa. Ni hayo tu!, mengine yalikuwa ya kawaida tu.