hii itakufaa: data entrants wawili

hii itakufaa: data entrants wawili

elnathan

Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
52
Reaction score
12
Wanahitajika data entrants wawili wawe na uwezo wa kutumia computer. Watatumia epi info kuingiza questionnaires 700 na wawe na uwezo wa kutumia hiyo program though watapata orientation.
Kila mmoja atalipwa 200,000 kwa kazihiyo itayochukua si zaidi ya siku 10 (hii ina maana kuwa kwa kazi yote kila data entrant analipwa 200,000/=). Cha muhimu ni quality work. Na kuna data quality assurance itafanyika. Aidha mhusika awe na LAPTOP yake atakayotumia.

If anyone interested and meeting criteria please email damax@37.com indicating your qualifications and suitability.. U can also email your brief cv.

you should be located in Dar es salaam-
NOTE: APPLICATIONS CLOSED; DATA ENTRANTS ALREADY RECRUITED!!!
________________________________________________________________________________________
update:
nawashukuru sana waliotuma applications zao. Na kati ya hao kwa kweli nimeweza kupata hao watu wawili wa kusaidiana kufanya hii kazi.

ushauri: naomba nitoe ushauri wa kwa wanaotafuta kazi. applicants jitahidini sana kuzingatia tangazo la kazi linataka nini na tengeneza maombi ya kazi kwa kuzingatia requirements hizo (i.e. one application or CV cannot fit all job opportunities so ni muhimu ku-customize your application). Kingine nilichojifunza ni matumizi lugha- ni vema kuandika kwa ustaarabu badala ya kutumia "hey man", or "hallo guy", badala yake tumia maneno kama "Dear Madam", or "Dear Sir". Ni vitu vidogo lakini vinaweza kufanya usiitwe interview.
thanks
 
Laki mbili kwa kazi nzima au kwa cku au?!fafanua

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
amyna........ni laki 2 kwa kila mtu kwa kazi yote. itawafaa zaidi wale ambao wapo likizo au ambao wamemaliza chuo na bado wapo katika mchakato wa kutafuta kazi.

Pia atakayefanya vizuri anaweza kushirikishwa katika data collection katila research stuudies zijazo
 
Last edited by a moderator:

Nimesha ku PM just check it.
 
mbona nimekupm hujanijibu
 
Last edited by a moderator:
Wanahitajika data entrants wawili wawe na uwezo wa kutumia computer. Watatumia epi info kuingiza questionnaires 700 na wawe na uwezo wa kutumia hiyo program though watapata orientation.
Kila mmoja atalipwa 200,000 kwa kazihiyo itayochukua si zaidi ya siku 10 (hii ina maana kuwa kwa kazi yote kila data entrant analipwa 200,000/=). Cha muhimu ni quality work. Na kuna data quality assurance itafanyika. Aidha mhusika awe na LAPTOP yake atakayotumia.

If anyone interested and meeting criteria please email damax@37.com indicating your qualifications and suitability.. U can also email your brief cv.

you should be located in Dar es salaam

nawashukuru sana waliotuma applications zao. Na kati ya hao kwa kweli nimeweza kupata hao watu wawili wa kusaidiana kufanya hii kazi.

ushauri: naomba nitoe ushauri wa kwa wanaotafuta kazi. applicants jitahidini sana kuzingatia tangazo la kazi linataka nini na tengeneza maombi ya kazi kwa kuzingatia requirements hizo (i.e. one application or CV cannot fit all job opportunities so ni muhimu ku-customize your application). Kingine nilichojifunza ni matumizi lugha- ni vema kuandika kwa ustaarabu badala ya kutumia "hey man", or "hallo guy", badala yake tumia maneno kama "Dear Madam", or "Dear Sir". Ni vitu vidogo lakini vinaweza kufanya usiitwe interview.
thanks
 
kutafuta kazi ni kazi...unahisi mtu unavigezo vyote,tena mnamsogeza karbu kwa maswali mengi na bado mumnyime mtu lolz!!!
 
napenda kuwashukuru sana waliotuma applications. naomba kuwafahamisha kuwa applications tumefunga kwa sasa. Tumeshapata hao watu wawili. wapo wanaendelea kuchapa mzigo.

thanks for all of you for showing interest. there is always next time!!!
 
Back
Top Bottom