BONGE LA BWANA
Senior Member
- Apr 14, 2015
- 199
- 168
Habari waungwana, nimekutana na changamoto kwenye tigopesa, jana baada ya kufanya muamala kwenda Airtel.
Hela kwenye akaunti yangu imekatwa lkn mpokeaji hajapokea hy hela. Baada ya kuongea na customer care waliniambia issue itakuwa solved ndani ya masaa24. Lakini baada ya kupita masaa 24 wananiambie niendelee kusubiri.
Leo tena, nimefanya muamala kupitia simbaking, hela imekatwa kwenye akaunti lkn mpokeaji hajapokea, na wao wanasema itashughulikiwa ndani ya masaa24 ya kazi.
Hii issue ni mm tu au kuna mwingine amekutana nayo?